Utaratibu wa Mikopo

Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...

Read More
CONTACT (WASILIANA NASI)

Lulu Saccos Ltd tunapatikana Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Mbeya Mjini katika eneo la Soweto tunatazamana na Barabara kuu ya TANZAM (Tanzania - Zambia road).

Fika ofisini kwetu, ofisi zilizoko Soweto Mbeya Mjini kwa ajili ya kupata huduma zetu hii ni pamoja na huduma za kuwa mwanachama wa Lulu Saccos Ltd au unaweza pia kuwasiliana nasi kwa njia zifuatazo:

  • Address:
  • P.O. Box 3467 Mbeya Tanzania
  • Telephone:
  • +255 756 145 183
  • +255 753 021 809
  • +255 718 878 300
  • Email:
  • mwenyekiti@lulusaccos.or.tz
  • manager@lulusaccos.or.tz
  • info@lulusaccos.or.tz
Saccos Location
News 1
Karibu Sana

Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia

picture-ya-Pesa
Vyanzo vya Mapato

  • (a) Hisa za wanachama
  • (b) Malimbikizo ya faida
  • (c) Mikopo kutoka taasisi mbalimbali za kifedha na zisizo za kifedha
  • (d) Misaada kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi
  • (e) Akiba za wanachama
  • (f) Uwekezaji wa wanachama na wadau mbalimbali

Ufahamu Zaidi

BIMA YA MIKOPO

Mkopo ni chachu ya maendeleo na husaidia...

Read More
DHAMANA YA MKOPO

Wadhamini wa mkopo watawajibika moja kwa moja...

Read More
UIDHINISHAJI WA MIKOPO

Uidhinishaji wa maombi ya mikopo.LULU SACCOS ha...

Read More