Utaratibu wa Mikopo

Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...

Read More
MKOPO WA NIWEZESHE

Mkopo huu unalenga kumsaidia Mwanachama mkopaji anapokuwa anataka kuboresha biashara yake. Kiwango cha mkopo huu ni kuanzia 100,000/= mpaka 100,000,000/= maelezo ya uhitaji wake ni kama ifuatavyo:

  • 1. Mkopaji atajaza fomu maalumu ya kuomba mkopo
  • 2. Mkopo huu utatolewa kwa kila mwanachama wakati wowote, kulingana na mafungu yake.
  • 3. Mkopo wa niwezeshe utakopeshwa kwa mwanachama ambaye tayari ana biashara na anataka kuboresha biashara yake.
  • 4. Kabla chama hakijatoa mkopo wa niwezeshe afisa mikopo au kamati ya mikopo itafika ili kuona na kukagua biashara ili kujiridhisha na uwezo wa biashara inayoombewa mkopo huo
  • 5. Dhamana za mkopo wa niwezeshe zitakuwa ni pamoja na:-
  • a. Hisa, Akiba, Amana ya mwanachama
  • b. Hati mbalimbali za mali zisizohamishika
  • 6. Riba yake itakuwa asilimia 2% kwa mwezi
  • 7. Mkopo huu utakopeshwa kwa muda mwezi 1 hadi 2
  • 8. Kiwango cha mkopo huu kitakuwa mara moja, mbili au tatu ya akiba za mwanachama
  • 9. Kiwango cha mkopo kitatakiwa kuwiana na viwango maalumu vya hisa vilivyowekwa na chama.
  • 10. Marejesho yatafanyika kwa mkupuo kwa kadri mwombaji alivyoomba
  • 11. Mkopaji atajaza mkataba wa mkopo

News 1
Karibu Sana

Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia

picture-ya-Pesa
Vyanzo vya Mapato

  • (a) Hisa za wanachama
  • (b) Malimbikizo ya faida
  • (c) Mikopo kutoka taasisi mbalimbali za kifedha na zisizo za kifedha
  • (d) Misaada kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi
  • (e) Akiba za wanachama
  • (f) Uwekezaji wa wanachama na wadau mbalimbali

Ufahamu Zaidi

BIMA YA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
USIMAMISHAJI MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
UREJESHAJI WA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More