Utaratibu wa Mikopo

Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...

Read More
MKOPO WA VYOMBO VYA MOTO

Mkopo huu unalenga kumuwezesha mkopaji kufanya Maendeleo binafsi kwa kununua chombo cha moto cha biashara kama Gari, Bajaji au Pikipiki.

  • 1. Mkopaji atajaza fomu maalumu ya kuomba mkopo
  • 2. Mkopaji atatoa mchanganuo wa vyombo vya moto na jumla ya bei kwa vyombo vya moto anavyotaka kununua.
  • 3. Mkopaji ana hiari ya kuchagua muda wa Marejesho kuanzi miezi 6 hadi miezi 48.
  • 4. Riba ya mkopo wa vyombo vya moto ni asilimia mbili 2%
  • 5. Mkopaji anaweza kukopa mkopo ambao ni mara moja (1), mbili (2) au tatu (3) ya akiba alizojiwekea.
  • 6. Mkopaji atahitajika kuwa na kiasi cha Hisa zinazowiana na viwango vilivyowekwa kwa viwango mbalimbali vya mikopo.
  • 7. Dhamana ya mkopo huu ni pamoja na:
  • a. Hisa, Akiba, Amana ya mwanachama
  • b. Mradi wenyewe kupitia biashara akaunti
  • c. Hati mbalimbali za mali zisizohamishika.
  • 8. Dhamana itakuwa ndani ya Mkoa wa Mbeya
  • 9. Kiwango cha juu cha mkopo huu kitakuwa ni Tshs.200, 000,000/=
  • 10. Mwanachama anayeruhusiwa kukopa mkopo huu ni yule aliyejiunga zaidi ya mwaka mmoja ndani ya Ushirika huu.
  • 11. Mkopaji atajaza mkataba wa mkopo na LULU SACCOS itampa chombo alichonunuliwa.
News 1
Karibu Sana

Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia

picture-ya-Pesa
Vyanzo vya Mapato

  • (a) Hisa za wanachama
  • (b) Malimbikizo ya faida
  • (c) Mikopo kutoka taasisi mbalimbali za kifedha na zisizo za kifedha
  • (d) Misaada kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi
  • (e) Akiba za wanachama
  • (f) Uwekezaji wa wanachama na wadau mbalimbali

Ufahamu Zaidi

BIMA YA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
USIMAMISHAJI MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
UREJESHAJI WA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More